•     

Shujaa wetu wa kipekee mwenye mafanikio ya kipekee

Rais Mheshimiwa Paul Kagame, wakati alipokuwa Mwenyekiti wa High Command wa RPA-Inkotanyi na pia Makamu Mwenyekiti wa RPF-Inkotanyi, anaonekana hapa akiwa pamoja na mkewe Jeannette Kagame na mtoto wao wa kwanza Ivan Cyomoro Kagame.

Majukumu hayazuii umuhimu wa familia  licha ya kuwa na majukumu mazito ya kuongoza mapambano ya ukombozi wa nchi, kusitisha mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi, na baadaye kulinda uhuru na usalama wa taifa hakuwahi kupuuza familia yake.

Mwezi wa tisa mwaka 2020, Rais Kagame arionyesha furaha kubwa kuwa na mjukuu, na kwa mara ya kwanza ariweka hadharani picha akiwa naye amembeba.

Picha hiyo ilichapishwa kwenye ukurasa wake wa Twitter (X) usiku wa Jumanne, ambapo alionekana amembeba mtoto mchanga akitabasamu kwa furaha. 

Aliiambatanisha na maneno yaliyosema kuwa amepata mwisho mzuri wa wiki akiwa na “mtu huyu wa ajabu”.

Hili linatufundisha kwamba
Uongozi wa kweli haujengwi tu juu ya kazi au majukumu ya taifa, bali pia juu ya kujenga na kulinda familia.

Rais Kagame akiwa na wajukuu zake

Rais Kagame alichapisha picha hii hadharani siku ya Alhamisi tarehe 20 Julai 2023.

Alisema: “Niko pamoja na watoto wangu akimanisha (Wajukuu wake )katika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwao, wanasherehekea siku moja tarehe 19 Julai. Ninawapenda.”

Familia ni chanzo cha nguvu ndiyo inayompa mtu uwezo wa kutekeleza vyema majukumu yake yote.

Hata kama majukumu ni mazito kiasi gani, kuipatia familia muda ni ishara ya taaluma njema na maadili mema.

Katika utamaduni wa Rwanda, kuwa “Inkotanyi” si ushujaa wa vitani tu, bali pia ni kuwa mfano bora katika maisha ya kila siku, ikiwemo kuheshimu, kupenda na kujitoa kwa ajili ya familia.

Unaweza kuwa na majukumu makubwa sana, lakini hayapaswi kukuzuia kuwa karibu na wale unaowapenda na kuwajali.

Katika nyakati mbalimbali, Rais Kagame amekuwa akieleza kuwa katika kila anachofanya, familia huwa kipaumbele  na ni miongoni mwa mambo yanayomsaidia kufanya kazi yake kwa mafanikio

Bagabo John