•     

Alain Mukuralinda aliyekuwa Naibu Msemaji wa Serikali amefariki dunia

Alain Mukuralinda, aliyekuwa Naibu Msemaji wa Serikali, amefariki dunia jioni ya Alhamisi, Aprili 3, 2025 kutokana na ugonjwa wa Moyo.

Naibu Msemaji wa Serikali amefariki Dunia

Mnamo Desemba 14, 2021, Alain Mukuralinda aliteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Serikali. 

Ni baada ya  muda mlefu akifanya  kazi kama Mwendesha Mashtaka wa Umma, pia aliwahi kuwa Wakili

Bagabo John