•     

REG VC imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya MAVCC2026.

Timu ya REG VC imekuwa ya kwanza kutoa matumaini kwamba kwa mara ya kwanza katika historia, timu kutoka Rwanda inaweza kufika fainali ya Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kwa Wanaume (CAVB Men’s Club Championship 2026 - MAVCC2026), ambayo kwa mara ya 47 inafanyika nchini Rwanda tangu tarehe 20 Aprili 2026.

Haya yamefanikiwa baada ya REG VC kushinda timu ya KPA kutoka Kenya katika robo fainali kwa seti 3-1 (28-26, 25-18, 17-25, 30-28) katika mchezo uliochezwa Alhamisi tarehe 30 Aprili 2026. Ushindi huo unaifanya REG VC kufuzu nusu fainali, ambapo itakutana na Police VC iliyoshinda Kepler VC kwa seti 3-2 (25-27, 25-19, 24-26, 25-19, 15-9).

Isipokuwa APR VC ambayo iliondolewa kabla ya hatua ya 1/8 na sasa itachuana kuwania nafasi za 9 hadi 16, timu nyingine tatu zinazoiwakilisha Rwanda zote zinatarajiwa kumaliza ndani ya nane bora.

Kati yao, REG VC na Police VC zinapaswa kuwa miongoni mwa nne bora, huku ikipe moja kutoka Rwanda ikitarajiwa kufika fainali.
Kwa upande wa Kepler VC, yenyewe itachuana kuwania nafasi za tano hadi nane.

Bagabo John 