Rais wa Rwanda Paul Kagame amepuzilia mbali uvumi kwamba hali yake ya kiafya sio nzuri.
Rais wa Rwanda Paul Kagame amepuzilia mbali uvumi kwamba hali yake ya kiafya sio nzuri.

Akizungumza na waandishi wa habari hii leo katika Ikulu ya Rais mjini Kigali, Kagame amesema yuko imara na anaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Hapa amesema" Nawahakikishia kuwa ni mimi niliyekaa hapa"
Kauli yake ameitoa siku chache tu baada ya kusambaa taarifa mitandaoni kwamba kiongozi huyo wa Rwanda ni mgonjwa.
Bagabo John