Polisi imetangaza kuwa maafisa 154 wakiwemo makamishna saba wamestaafu, idadi kubwa kati yao niwale ambao wamestaafu, nawengine wakifutwa kazi.
Taarifa iliyotolewa na Polisi ya Rwanda hiileo Jumapili 10 November 2024, imetaja kuwa makamishna hao waliostaafu ni pamoja na CP Denis Basabose, ACP Celestin Twahirwa, ACP Elias Mwesigye, ACP Eugene Mushaija, ACP Tom Murangira, ACP David Rukika na ACP Michel Bayingana.

Wengine waliopewa likizo ni pamoja na maafisa wakuu 15, maafisa wa dogo 22 na nawengine 96.
Mbali na waliostaafu, Polisi 13 wamefutwazi kazi kutokana na kuugua na mmoja alifukuzwa kazi kutokana na sababu ambazo hazikutajwa.
Bagabo John
