•     

Brigedia Jenerali Patrick Karuretwa ameteuliwa kuwa Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda.

Rais wa Jamhuri ya Rwanda na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF), amemteua Brigedia Jenerali Patrick Karuretwa kuwa Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda.

Rais wa Jamhuri ya Rwanda ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF), amemteua Brigedia Jenerali Patrick Karuretwa kuwa Msemaji mpya wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 17 Juni 2026, Brigedia Jenerali Patrick Karuretwa ataendelea kutekeleza majukumu yake ya sasa kama Mkurugenzi Mkuu anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa wa Kijeshi katika Wizara ya Ulinzi.

Aidha, sambamba na majukumu hayo, atakuwa pia akihudumu kama Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF), akisimamia mawasiliano na utoaji wa taarifa rasmi kwa umma kuhusu shughuli za jeshi hilo.

Bagabo John 